Jamani tubaki njia kuu!!! demu mmoja nchini kenya ameripotiwa kutembea na wanaume zaidi ya 300 wakati anajua kabisa ni muathirika wa ukimwi. Demu huyo aliamua kuchukua uamuzi huo mgumu kama njia ya kulipiza kisasi kwa wanaume baada ya yeye kufanya mapenzi yasiyo salama na mwanaume yaliyopelekea kuambukizwa ukimwi.Mwanafunzi huyu kutoka Karabak University katika jiji la Nakuru aliamua kufunguka kupitia facebook na kusema “nimesikia watu mkisambaza kashfa. Mimi nina kashfa kubwa
zaidi nataka kuisema.” gazeti la daily post nchini kenya liliripoti.Mwanafunzi
huyu aliliambia gazeti la daily post la kenya kwamba ana miaka 19 tu kwasasa, na alikua ni bikira mpaka siku alipoenda club usiku na watu wa miaka ya juu hapo chuoni kwake. Alipoamka aligundua mmoja wa watu hao alifanya nae mapenzi bila ya yeye kujua sababu alikua amelewa kupita kiasi