Staa mkongwe wa Bongo Movies, Mahsein Awadh ‘Dokta Cheni’ amewashukuru mashabiki na wapenzi wa kazi zake kwa kuipokea kazi yake ya ‘Nimekubali Kuolewa’ kwani imeigia leo sokoni na kununuliwa nakala zote hvyo inawabdiki wazalishe nakala nyingine zaidi.
“Asante Mungu muumba mbingu na ardhi asante washabiki wangu kwa kuifanya hii movie leo kuingia sokoni na kuisha copy zote dukani ila kesho zitaletwa copy zengine kwa maduka yote niombe radhi kwa wote mliokosa leo msg zenu nimezipata kesho mzigo utakuwa mwingi sana madukan asanten.kwa support yenu”
Dr Cheni ameandika kwenye ukurasa wake mtandaon.
Kama bado subiri kujipatia nakala yako