ONA JINSI WALEMAVU WALIVYOFUNGA BARABARA KARUME-ILALA JIJINI DAR LEO, PICHA ZIKO HAPA
Umati wa watu ukionekana katika eneo la Makutano ya Barabara ya Kawawa na Uhuru, Karume jijini Dar es salaam kutokana na kuwepo kwa baadhi ya walemavu wa viungo waliokaa katikati ya Barabara hizo kushinikiza kupewa eneo la Karume ili waweze kufanya biashara zao, hali iliyopelekea njia hizo kufungwa kwa muda na kuleta usumbufu mkubwa kwa watumiaji wa barabara hiyo.