Msanii wa Bongo muvi, Shamsa Ford akiwa katika pozi na mmoja wa wadau wa burudani.Msanii Dayna Nyange akiwa na mdau wa burudani.
SHOO kwa ajili ya kumchangia mke wa mwanamuziki Mabeste iliyokwenda kwa jina la Mrs. Mabeste Charity ilifanyika usiku wa jana ndani ya ukumbi wa New Maisha Club, Oysterbay jijini Dar na kuhudhuriwa na mastaa mbalimbali.