Thursday, May 14, 2015

Video ya diamond Ashindwa foleni na kupanda BODA BODA ili awai ndege ya kwenda London kwenye shoo


Damn this traffic jam...i had to take a motorbike so that i can get my LONDON Flight!!... UK can you guys see how much i love you...

(LONDON! Huu ni mfano Mzuri wa kuwa Mapenzi yananguvu kuliko Pesa, yaani kwa jinsi ninavyowapenda LONDON imenibidi nichkue bodaboda ili nsiachwe na ndege...)



A video posted by Chibu Dangote..�� (@diamondplatnumz) on