Lagos, Nigeria
IMEKUWA mtindo kwa mastaa weusi kujichubua ngozi zao na kuzifanya nyeupe. Mmoja wa wanamuziki wa Nigeria, Yemi Alade, amejikuta akisakamwa na shabiki mmoja kwa kutumia mkorogo.
Alipotuma katika mtandao wa Twitter picha mbili za mwanamuziki huyo aliyevuma kwa wimbo wake wa ‘Johnny’ – picha moja ikimwonyesha alipoanza kujikita katika muziki zamani na picha ya sasa ambayo amekuwa mweupe.
Picha hizo zilitumwa Mei 18 mwaka huu
Picha hizo zilitumwa Mei 18 mwaka huu