BREAKIN NEWZZ!!:- MAJAMBAZI WAVAMIA NMB BANK NA KUUA POLISI MKURANGA LEO
"Mkuranga tumepata mtihani wa uvamizi wa majambazi katika bank pekee ya NMB na askari mmoja kapoteza maisha. Allah tuepushe na mtihani huu maana Mkuranga tunaanza kuvuma kwa sifa mbaya mbaya za uvamizi na mauaji."