Wednesday, June 17, 2015

BREAKING NEWZ : MSANII BEN POL ANUSURIKA KUPOTEZA MAISHA BAHARINI

Sio Ben Pol peke Yake bali kulikua na watu wengine ambao alikua nao kwenye boti moja walitokea kisiwani.
Kwa mujibu wa story aliyotoa Ben Pol ni kwamba boti yao ilifeli engine yake na kuanza kujaa maji. Kilichowasaidia ni life jacket walizokua wamevaa.
Mtu mmoja haonekani hadi sasa na waliokolewa na boti ya wavuvi iliyopita karibu yao. Vinginevyo ingekua story nyingine.