Wednesday, June 17, 2015

MUONE HAPA WEMA SEPETU NDANI YA GWANDA ZA CCM TAYARI KWA KUGOMBEA UBUNGE

 

Muigizaji maarufu Wema Sepetu ambae amekaa kwenye umaarufu kwa muda wa miaka mingi. Hivi sasa anatarajiwa kuingia kwenye njia mpya ya maisha yake.

Ripoti zilizonifikia ni kwamba Wema Sepetu kupitia chama cha CCM anatarajia kugombea ubunge wa viti maalum Singida. Kila raheli kwenye safari Yake mpya.