Monday, June 15, 2015

BREAKING NEWZ:Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Issa Shaaban Simba amefariki asubuhi ya leo.

Muda mfupi uliopita nimepata taarifa kuwa Kiongozi Mkuu wa Waislamu nchini Tanzania Mufti Issa Bin Shaaban Simba amefariki dunia.

Hakika ni majonzi na pigo kubwa kwa Waislam na watanzania kwa ujumla. Amezaliwa Shaaban na ameondoka ndani ya mwezi wa Shaaban,Innalilah wainailah Rajiun.

Mwenyezi mungu ampe kauli thabiti na amjaalie pepo ya kheri na kumsamehe madhambi yake.

The Grand Muft of Tanzania has passed away.
Hakika ni majonzi na pigo kubwa kwa Waislam na watanzania kwa ujumla.

Amezaliwa Shaaban na ameondoka ndani ya mwezi wa Shaaban,
Innalilah wainailah Rajiun.

Mwenyezi mungu ampe kauli thabiti na amjaalie pepo ya kheri na kumsamehe madhambi yake.
The Grand Muft of Tanzania has passed away.

SOURCE:JF