Alhamisi ya Juni 11 katika ukumbi wa Villa Park Mwanza, Isha Mashauzi aliwapa ‘sapraiz’ ya aina yake mashabiki wa taarab wa kwa kuibuka jukwaani mithili ya wasanii wa ‘mbele’ ambapo alitinga mavazi tofauti kabisa na yalizoeleka kwa waimbaji wa taarab.
Mashabiki wakaminika jukwaani kwenda kumtunza Isha sambamba na kunengua nae kwa dakika kadhaa na kisha kupisha wengine wapande. Ilibidi mabaunsa wawapandishe mashabiki hao kwa zamu kutokana.
Miongoni mwa waliopagawa sana na Isha Mashauzi kwenye onyesho lake hilo la pamoja na Mzee Yussuf, ni huyu mwanamamna pichani mwenye umbo la kibantu, aliyejazia ‘neema za Allah’.
Mdada huyu alipanda jukwaani akacheza na Isha huku akimtunza ‘nyekundu nyekundu’ tupu, kwa hesabu za haraka haraka alitoa zaidi ya shilingi laki mbili katika muda huo mfupi aliopanda jukwaani.
Mwanamama akizichomoa pesa
Pesa zinamiminika mkononi mwa Isha
Ananengua kidogo
Mwanamama bado hajamaliza
Kazi inaendelea
Pesa zinachomolewa tena
Balaa linaendelea