Saturday, June 27, 2015

Vituko: KWELI DAWA YA JEURI NI KIBURI SOMA HAPA

Alikuja mume anakimbia na kumwambia mkewe...
Fanya upec lazima twende mgeta sasa
hivi....Mkewe akamwambia kheri mume wangu
kuna nn???? Akamwambia kuwa mama kafariki
Mwanamke akasema mm cwezi kwenda kilioni hv
Lazima nisafishe uso na nywele... Akaenda saloni
na akasafisha uso na akachonga nyusi akarudi
nyumbani na akaanza kufunga nguo...Akamuuliza
mumuwe ivi mama yako amekufa na nn??
Mwanaume:Mama hana ki2 sasa hv nimeongea
nae... mwanamke: Mumewangu c umesema km
mama yako kafariki??? Mwanaume: mama yako
ndio kafarikiiiiiii...Mwanamke akaaanza kulia na
kupiga makelele na kugaragara jamani nichukue
upec nimuwahi mama yangu kabla hawajamzika
Mwanamume: mke wangu 2lia mpk niende kwa
kinyozi nikapunguze ndevu..