Mashabiki wengi wa ndondi duniani bado wanahamu ya kutaka kujua je ni mwanamasumbwi gani atapambana na mkali wa mchezo huo kutoka marekani Floyd Mayweather ambapo hilo ndilo litakua pambano la mwisho kwa Floyd mayweather kwani baada ya hapo anastaafu rasmi kucheza mchezo huo.