Kim Kardashian ziadi ya kuutumia muda wake wa mapumziko akiwa nchini Thailand pia alitumia muda huo kufanya photo shooting akiwa beach.
Japokuwa picha kamili zilizokuwa zinapigwa bado hazijatoka lakini hizi za behind the scene tayari zimevutia watu wengi na zinaangaliwa sana kupitia internet.