Monday, June 8, 2015

KAULI NZITO 5 ZA WEMA SEPETU,AMBAZO BILA SHAKA HUJAWAHI KUZISIKIA MAHALA POPOTE

Wema-sepetu1
Malkia mstaafu wa penzi la Diamond Platnumz ambaye ni muigizaji wa filamu hapa Tz, Wema Sepetu a.k.a Madam aliyewahi kuwa top kwenye shindano la Miss tz 2006, ametoa kauli tano nzito kwenye chanzo chetu makini kufuatia pigo kubwa la kutoswa na Diamond Platnumz a.k.a sukari ya warembo.
“1.Simpendi Diamond kabisa 2. Zari Haniwezi kwenye issue za Fashion 3. Sasahivi mimi ni timu Alikiba 4. Sipo tayari ku-date na msanii yeyote 5. Simshauri mtoto wa kike kujichubua coz yaliwahi kunitokea nikajuta.” Alisema Wema