Saturday, June 27, 2015

MAKUBWA HAYA:HUU NDIO UKWELI KUHUSU TATOO YA WEMA SEPETU MGONGONI MWA KAJALA

Wema Sepetu na Kajala Masanja Walikuwa Marafiki wa kufa mtu , baada ya Wema Kumlipia Kajala Mil 13 ili aachiwe kutoka Gerezani Kajala alijichora Tattoo mgongoni mwake yenye jina la Wema , Sasa am just wondering kama hiyo tattoo bado anayo baada ya urafiki wao kuvunjika kwa muda mrefu?