Mtangazaji Doreen Komuhangi ambae ameingia kwenye list ya watangazaji wazuri nchini Uganda anayefanya kazi katika kituo cha NBS TV, Mrembo huyo kupitia akaunti yake ya twitter aliandika juu ya kuvutiwa kimapenzi kutokana na ufanyanyi kazi wa Rais Uhuru Kenyatta Kutoka Kenya na aliandika kama ifuatavyo