Wema Sepetu.
Katika Kipindi cha TAKE ONE cha Zamaradi, Wema Sepetu kafunguka namna ambavyo alitamani kuzaa na Diamond Platnumz.
Wema Sepetu amesema:
"Nilikuwa natamani siku moja kupata mtoto na Diamond(Naseeb) kwa sababu i told you he was my man ambae nimetokea kumpenda tu hivyo, its done lakini ukweli upo and am not fake and nilikuwa natamani sana that is what i wanted, and tumehangaika wote, yeye anajua the hustle and nimehangaika sio mahospitalini, nimehangaika sio kwa madawa haya ya mitishamba sijui nikisikia Dokta nani, sijaenda kwa several doktas kwa sababu nimeshakata tamaa people telling me am stilling too young kukata tamaa but kwa sababu ya zile hustles nyingi nimechoka"