Thursday, July 9, 2015

BREAKING NEWS YA MAPENZI,AUNT EZEKIEL AJICHORA JINA LA DANCER WA DIAMOND PLATNUM NA MWANAE.


Bongo movie Aunt Ezekiel mapenzi ya dancer wa Diamond yamdatisha hadi kufikia hatua ya kujichora mwilini jina la mpenziwe huyo Moses Iyogo,Na jina la mtoto wao Cookie.Aunt Ezekiel miaka ya karibuni amechukua maamuzi magumu ya kutulia kwenye mapenzi ingawa aliolewa na haieleweki ndoa hiyo ilikuwa na hatma gani.Wapenzi ambao wamejichora majina ya wenza wao nipamoja na Nuh Mziwanda, bila kusahau mpenzi mpya wa Linah.