
Jumapili July 12 2015 Historia nyingine imeandikwa kwenye Siasa Tanzania, kutoka Makao Makuu ya Chama cha Mapinduzi Dodoma Tanzania tumewafahamu wale ambao wameteuliwa
Jana na leo imekuwa siku ambayo tumezipokea story nyingi sana toka Dodoma, ninayo mengine leo mtu wangu… Ukumbi mpya wa Dodoma Convertion Centreumewakutanisha Wajumbe wa CCM na yametolewa majibu ya kura kwamba Dk. John Pombe Magufuli ndio Mgombea Urais wa CCM na Samia Hassan Suluhu amekuwa Mgombea Mwenza.
Kama umeona LIVE ya kwenye TV kilichokuwa kinaendelea ndani ya Ukumbi huo, nimefanikiwa kuzunguka na nje ya Ukumbi huo kuona kila kilichokuwa kinaendelea, ninazo pichaz hapa mtu wangu.

Barabara ya kuelekea Ukumbini ilikuwa busy siku nzima.

Watu wa Usalama hawako mbali na Ukumbi.

Moja ya Mabasi yaliyobeba Wajumbe toka Mikoani.

Dodoma Convention Centre mwonekano wa mbele.

Kikosi cha Zimamoto kiko tayari kwa dharura yoyote.

Nyuma ya Ukumbi wa Dodoma Convention Centre.

Watu wa Usalama walikuwa na Farasi pia.

Wajumbe wengine walikuwa nje ya Ukumbi wakiendelea kuimba na kucheza muda wote ambao Kikao kilikuwa kikiendelea ndani.

Wapo waliokuwa na bidhaa zao wakiendelea kuuza nje ya Ukumbi.

Moja ya packing ya magari nje ya Ukumbi.