Wednesday, July 8, 2015

ITV Ndani ya tuhuma nzito

I
Kituo maarufu cha televisheni cha ITV daima kinachomilikiwa na mfanyabiashara Reginal Mengi,Kimeingizwa kwenye tuhuma ya kutoonesha habari yoyote ya mikutano ya chama cha ACT Wazalendo toka kuanza kwa awamu ya pili ya mikutano hiyo,Mikutano iliyotajwa kuto onekana taarifa zake niya mikoani Mbeya,Tabora,Shinyanga na Dar es Salaam mwembe yanga jumamosi iliyopita.Haijafahamika sababu ni ipi,Ikumbukwe kwamba kiongozi wa ACT Zitto Zuberi Kabwe alituhumiwa kupeleka habari kwa muheshimiwa rais kwamba Reginal Mengi amesema rais atakapo maliza muda wake atamshuhulikia gazeti la taifa leo liliandika hivyo,Habari hiyo ilimfanya mmiliki huyo akionekana kwenye vyombo la habari akihofia usalama wake na kumuomba rais atoe kauli yake.