Sunday, July 12, 2015

Machangudoa wa Sinza Mori Wezi, Wameniliza na Kunibakiza na Boxer Pekeee...Chukua Tahadhari

Wasalam wadaujapo ni mwezi mtukufu bado
kina dada poa wa pale Sinza Mori opposite na
Big Bon Petrol station wanapiga kazi ya
maana. Lakini shida yao ni wezi kwa wateja
wao nimekuja hapa kuwataahadharisha wale
wenzangu mnaowachukua kujitahadhari maana
wanapaka dawa Fulani kwenye chuchu sasa
unapoenda nae Chemba anajidai ana hamu ya
kunyonywa chuchu ile kumnyonya tu unalewa
na kuishiwa usingizini na anakukomba vitu
vyote. Mimi Jumamosi nimemchukua demu
Fulani bonge hapo nikaenda nae pale
UNIVERSAL GUEST HOUSE nimejishtukia asb
nimebaki na bukta kuwauliza watu wa hotel
wanadai hawamjui na aliondoka saa 1 asubuhi
hiyo. CHUKUA TAHADHARI
By Mdau