Saturday, July 11, 2015

TAZAMA PICHA NYINGINE ZA TUKIO ZIMA ZA KILICHOTOKEA DODOMA LEO MCHANA>

Wapambe wa Lowassa wakitambaa kupinga Edward Lowassa jinalake kukwatwa kamati kuu.
  
Gari linalotoa maji ya washawasha nje ya jengo la makao makuu CCM.
  
Polisi pamoja na mbwa wake wakilinda usalama nje ya jengo la Makao makuu CCM.

  


Baadhi ya waaandamaji wakipinga Edward Lowassa kukatwa.
Polisi watumia mbwa kuwafukuza waandamanaji nje ya majengo ya makao makuu CCM

Baishara zasimama,makao makuu Dodoma.
Baadhi ya wapambe wa Lowassa wakipinga Kamati kuu kumchuja Lowassa.
Barabara zafungwa Polisi watanda kila kona kudhibiti usalama dhidi ya waandamanaji.

Wapambe wa Loawssa wakipinga kukatwa tano bora.