Wednesday, August 19, 2015

AUDIO: MSAGASUMU AKIIBUKA NA WIMBO “LOWASSA CHAGUO LA WENGI” BONGE LA NGOMA


Mkali wa vigodoro, Msagasumu (pichani juu), ameachia wimbo unaokwenda kwa jina la “Lowassa Chaguo la Wengi” ikiwa sehemu yake ya kuionyesha jamii namna anavyomkubali Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa ambaye ametangaza nia ya kuwania urais wa Tanzania kupitia CCM. Wimbo huo umerekodiwa katika studio za C9 Records chini ya producer C9 Kanjenje. Usikilize wimbo huo.