Thursday, August 13, 2015

BREAKING NEWS : MBUNGE WA CCM ANUSURIKA KICHAPO

Mhe Diana Chilolo ANUSURIKA KUPIGWA MBELE YA RAIS, AZOMEWA NA WAJUMBE WA NEC MBELE YA RAIS.

NI ALIPOMSEMA MWIGULU NCHEMBA; WAJUMBE WASEMA USIGUSE MBONI YA MACHO YETU. 
KUTOKA DODOMA KILICHOMKUTA MAMA DIANA MKUMBO CHILOLO HATA KISAHAU BAADA YA KUZOMEWA NA UKUMBI MZIMA WA NEC PALE ILIPOFIKA KUJADILI MAJINA YA WAGOMBEA WA IRAMBA.
ALIPOMTAJA MWIGULU KWA NAMNA YA KUMLAUMU KUWA ALITUMIA UBABE SANA KWENYE UCHAGUZI WAJUMBE WALIANZA ZOMEA WAKISEMS TOKAA" TOKAAA" TOKAAA: USIGUSE MBONI YA MACHO YETU; TOKAAA. NDIPO DIANA AKAJIRUDI NA KUSEMA JAMAA NAOMBENI RADHI, SIJASEMA MWIGULU AKATWE, TOKAAAAS, SIJASEMA MWIGULU ASIPITISHWE. 
NDIPO PAKATULIA KIDOGO. HATA HIVYO WAJUMBE WALITUMIA ROBO SAA WAKIMSEMA MAMA DIANA CHILOLO KUWA AACHE CHUKI BINAFSI NA BADALA YAKE ATAMBUE UMHIMU NA UMAHIRI WA MWIGULU KATIKA CHAMA HIKI NA NCHI HII. VIONGOZI KUTOKA CHAMA MKOA WA SINGIDA WALIKANUSHA VIKALI UZUSHI KUWA MWIGULU ALITUMIA UBABE NA KUSEMA HIZO NI CHUKI BINAFSI. 


CHANZO JAMII FORAM