Leo Agosti 23, 2015 CCM imefungua pazia rasmi na kampeni zake kuelekea uchaguzi mkuu wa urais, wabunge, madiwani uzinduzi ambao ulipambwa na makada mbalimbali wa chama hicho pamoja na wasanii mashughuli nchini.
Ninazo hapa baadhi ya picha zote za uzinduzi wa kampeni hizo>>