Thursday, August 20, 2015

Lowassa Funguka Kila Kitu Kuhusu Richmond, CCM Wanapanga Kukuanika

Wakati umefika kwa Lowassa kujibu mapigo na kuwaeleza watanzania kila kitu(A-Z) kuhusu Richmond maana kwa mujibu wa gazeti la Uhuru la leo tarehe 19/08/2015,CCM wanapanga kutumia kile kinachoitwa "file chafu" la Lowassa kukuchafua hivyo nawe jibu mapigo bila kuficha chochote vinginevyo itaku-cost.

Kichwa kimoja kidogo cha habari katika ukurusa wa mbele kinasomeka, "faili chafu lenye lundo za kashifa kufunguliwa J'pili".

Tukumbuke J'pili ndio CCM nao wanazindua campaign zao.

Yangu ni hayo tu