Thursday, August 20, 2015
Kasoro DART: Milango ya Mabasi ya Mwendokasi milango yake iko kushoto wakati vituo viko kulia!
Hii ndio Tanzania bwana. Mabasi yaendayo kasi milango yake iko kushoto na vituo viko kulia. Sasa sijui wamefanya kinyume. Najaribu kuwaza kwa sauti
Newer Post
Older Post
Home