Tetesi za Wakongwe wa CCM Kuhama Chama na Kujiunga na UPINZANI Zaanza Kunukia..Hali ni Tete CCM
Hali ni "TETE" CCM ! Tetesi za wakongwe wa CCM kuhama chama na kujiunga na UPINZANI zaanza kunukia! Mafuriko ya Lowassa hayazuiliki. Sumaye na Bilali wanategemewa kufanya maamuzi magumu wakati ukifika. Tusubiri tuone!