JIJI LETU

Saturday, September 26, 2015

CCM YARUSHA CHOPA,YAANZA KAZI TABORA N.K YA KUIMARISHA USHINDI WA KISHINDO

Chama Cha Mapinduzi hii leo kimerusha Helcopta yake ya kwanza kwenye kila pembe ya Nchi kuhakikisha CCM inashinda kwa kishindo Uchaguzi Mkuu kwenye nafasi zote za Udiwani,Ubunge na Urais.Kazi ya kupasua anga hilo linaongozwa na Mjumbe wa Kamati ya Ushindi Ndg.Mwigulu Nchemba ambaye katika Jimbo lake la Iramba kwa asilimia 98 amejihakikishia Ushindi wa kishindo hapo Tar.25.10.2015
at 9:35:00 AM
Newer Post Older Post Home

categories

AFYA AJALI AJIRA BIG BROTHER BONGO MOVIE Bongofleva Bongomovie BUNGENI ELIMU FASHION FIESTA FUMANIZI Habari Za Mitaani HIP HOP Instagram KIMATAIFA KITAIFA MAAJABU Madawa ya kulevya MAGAZETI MAPENZI MBELE MICHEZO RECORD SIASA TECHNOLOGY UDAKU UKATILI UTAFITI VITUKO WASANII WhatsApp Videos

Popular Posts

  • Video ya Aibu ya Wema Sepetu Yavuja!
  • Utameza Mate Kama Fisi! See What This Naughty Swahili LADY was Doing in Private (VIDEO)
  • VIDEO: Mama Maria Nyerere Ampigia Kampeni Dr. Magufuli
  • Mke Anasa Picha Chafu Za Hawara...Bofya Hapa Kuziona!
  • Vigogo TRA Wakutwa na Mamilioni Nyumbani Kwao
  • Kurasa za mwanzo na mwisho za Magazeti ya leo Jumamosi ya tarehe 26 April 2014
  • Utajiri kigogo NHC gumzo
  • MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI JULY 11 2015
  • MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA STASHAHADA MBALIMBALI CHUO KIKUU CHA DODOMA YAKO HAPA..!! BOFYA HAPA
  • VIDEO:TAZAMA WANAFUNZI HAWA WAKIYAKATA MAUNO NI BORA WANGEENDA TWANGA PEPETA KIPAJI WANACHO
Awesome Inc. theme. Powered by Blogger.