“Wazo alilolitoa Lowassa ni zuri hasa kwa mtu yoyote anayependa amani ipatikane. Ni aibu Watanzania kuchinjana. Viongozi tutakaochaguliwa kutumikia wananchi ni lazima tukae chini ili kumaliza tataizo hili. Tunahitaji kuwa na mipango, wala hatuhitaji kuwa na fedha za kigeni kumaliza migogoro,” amesema Ndugai.
Lowassa alitoa wazo hilo wiki iliyopita wakati wa mkutano wa kampeni katika uwanja wa Soweto wilayani Kiteto.
CHANZO FURAHIYA MAISHA
Lowassa alitoa wazo hilo wiki iliyopita wakati wa mkutano wa kampeni katika uwanja wa Soweto wilayani Kiteto.
CHANZO FURAHIYA MAISHA