Saturday, September 26, 2015

Picha: Magufuli Auteka Mji wa Kahama......Maelfu Wahudhuria Mkutano Wake


Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akiwasili kwenye uwanja wa Milango 10 tayari kuhutubia maelfu ya wakazi wa mji wa Kahama waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa kampeni za CCM.
  Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akiruka kutoka kwenye gari wakati akiwasili kwenye uwanja wa mkutano mjini Kahama.
  Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli( wa tatu kutoka kushoto) akiongoza meza kuu kumuombea mapumziko mema mgombea wa Ubunge wa Jimbo la Ulanga Mashariki Mhe. Celina Kombani aliyefariki nchini India tarehe 25 Sept.
  Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akiwachangamsha wakazi wa Kahama kwa kuimba nao nyimbo za hamasa wakati wa mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM uliofanyika kwenye uwanja wa Milango 10.
  Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akienda sambamba na wakazi wa mji wa Kahama.
 Wananchi wakiwa wamebanana kabisa kumuona  Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli
  Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa mji wa Kahama na kuwaahidi ataubadilisha mji huo na kuwa wa kisasa na wenye maendeleo zaidi.
  Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akiwaambia wananchi wa Kahama kuwa atawafanyia kazi Watanzania wote bila kujali Itikadi zao za vyama.
 Hivi ndivyo mkutano wa Kahama wa  Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli ulivyofurika.
 Wakazi wa Kahama mjini wakiwa wametosha kwenye mkutano wa kampeni za  Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli
 Chegge na Temba wakitumbuiza kwenye mkutano wa kampeni za  Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli kwenye uwanja wa Milango 10.
 Chegge na Temba wakishambulia jukwaa kwenye mkutano wa kampeni za  Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli
 Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi na Mjumbe wa Kamati Kuu CCM Taifa Ndugu Alhaji Abdallah Bulembo akiwahutubia wakazi
 Mjumbe wa Kamati ya Kampeni za CCM Mhe.Samuel Sitta akihutubia wakazi wa Kahama mjini wakati wa mkutano wa kampeni wa  Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli
Wasanii wa Yamoto Band wakitumbuiza kwenye mkutano wa kampeni za  Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli.