
"Mitandao ya mawasiliano leo imesheheni tena taarifa za Profesa Mwandosya kuhama. Napenda kuwathibitishia ndugu, marafiki, na watanzania wenzangu, tena kwa ukweli kabisa, kwamba nahama, kutoka Dar es Salaam kwenda kijijini Lufilyo, Busokelo. Karibuni sana kijijini"-Prof. Mark James Mwandosya