JIJI LETU

Monday, November 30, 2015

HIVI UMELISIKIA HILI LA KUKAMATWA KWA MABUNDA YA NOTI YAKIWA KWENYE NDOO,BASI HII NDIYO TARIFA SAHIHI.


Habari zilizosambaa mitandaoni kuhusiana na mabunda ya noti za dola ya Kimarekani kuwa zimekutwa nyumbani kwa mmoja wa watuhumiwa wa mtandao wa wizi bandarini na TRA sio za kweli, Globu ya Jamii inaweza kuthibitisha.Ukweli ni kwamba mabunda hayo ya noti yalikamatwa huko jijini York, Portland, Marekani Mwezi Septemba mwaka 2010, na sio hapa Dar es salaam, Tanzania kama ambavyo wadau wengi wa mitandao hasa ya Whatsapp na Instagram wanavyovumisha.

Tumelazimika kutoa habari hii ili kuokoa wadau wetu wengi katika vuguvugu hili la uvumi wa mitandaoni ambayo hupelekea kazi kuwa ngumu kwa wengi wetu tunaotafuta na kutoa taarifa za uhakika na ukweli. Maana samaki mmoja akioza wote huonekana wameoza.


Vile vile hii ni kuwafumbua wale wote wanaohusika kusimamia na kutekeleza sheria ya mitandao wawe macho na kuanza kuchukua hatua madhubuti ili kupunguza kama si kuondoa kabisa tabia hii mbaya ya kusema uwongo kila kukicha.
at 8:40:00 AM
Newer Post Older Post Home

categories

AFYA AJALI AJIRA BIG BROTHER BONGO MOVIE Bongofleva Bongomovie BUNGENI ELIMU FASHION FIESTA FUMANIZI Habari Za Mitaani HIP HOP Instagram KIMATAIFA KITAIFA MAAJABU Madawa ya kulevya MAGAZETI MAPENZI MBELE MICHEZO RECORD SIASA TECHNOLOGY UDAKU UKATILI UTAFITI VITUKO WASANII WhatsApp Videos

Popular Posts

  • HIKI NDICHO KILICHOFANYIKA NEW MAISHA CLUB KWENYE USIKU WA BUNYERO BUNYERO ZA KIBAO KATA
  • Lowassa:Richmond Kujulikana Oktoba 25
  • Ajali Mbaya ya Noah Yaua Watu 8 Jijini Mwanza
  • LULU NUH AMKOSHA NAY WAMITEGO MPAKA KUFIKIA KUFANYA JAMBO HILI DUH MSIMU HUU KAZI IPO AISEE
  • TAZAMA PICHA, HIZI NDIZO STYLE TANO ZA NYWELE AMBAZO MADEMU WENGI WANAVUTIWA WANAUME WA KIAFRIKA WAKINYOA
  • Mila Za Kufukua Maiti, Kuziosha Na Kuzivisha Nguo Mpya Indonesia
  • PICHA HIZI ZA MADAM RITA AKIWA BEACH ANAPUNGA UPEPO ZIMEKUWA GUMZO MTANDAONI>>>>HEBU JIONEE NI KWANINI>>>>
  • NISHA ASEMA HAWEZI KUMRUDIA NAY WA MITEGO
  • RAY C - SIJARUDIANA NA LORD EYEZ
  • HIVI UMELISIKIA HILI LA KUKAMATWA KWA MABUNDA YA NOTI YAKIWA KWENYE NDOO,BASI HII NDIYO TARIFA SAHIHI.
Awesome Inc. theme. Powered by Blogger.