Tuesday, November 3, 2015

Mabaki ya Ndege ya Urusi Baada ya Kuanguka Sinai, Misri

Wachunguzi wakiwa eneo la tukio wakiangalia mabaki ya Ndege ya Shirika la Kogalymavia la Urusi, Airbus A-321 iliyoanguka eneo la Sinai nchini Misri ilikuwa na abiria 200, watoto 17 na wafanyakazi wa ndege hiyo 7.
Mabaki ya Ndege aina ya Airbus A-321 iliyoanguka siku ya Jumamosi ikitokea Mji wa Sharm el-Sheikh ikielekea mji wa St. Petersburg nchini Urusi.