JIJI LETU

Thursday, February 11, 2016

Ajali ya basi na lori yaua Tanga


WATU kadhaa wanahofiwa kufariki dunia wakiwemo madereva wawili baada ya basi la abiria la Simba Mtoto lililokuwa linakuja jijini Dar es Salaam kupata ajali kwa kugongana na lori katika kijiji cha Pangamlima, Barabara ya Tanga-Segera mkoani Tanga leo asubuhi.
Tovuti hii imeongea na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga ambaye amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo na kueleza kuwa zoezi la uokoaji bado linaendelea hivyo likimamilika atatoa taarifa rasmi kuhusu ajali hiyo.



at 12:38:00 PM
Newer Post Older Post Home

categories

AFYA AJALI AJIRA BIG BROTHER BONGO MOVIE Bongofleva Bongomovie BUNGENI ELIMU FASHION FIESTA FUMANIZI Habari Za Mitaani HIP HOP Instagram KIMATAIFA KITAIFA MAAJABU Madawa ya kulevya MAGAZETI MAPENZI MBELE MICHEZO RECORD SIASA TECHNOLOGY UDAKU UKATILI UTAFITI VITUKO WASANII WhatsApp Videos

Popular Posts

  • HUU NDO UTAJIRI WA MCHUNGAJI GWAJIMA....NDIYE ASKOFU TAJIRI NO.1 TANZANIA
  • Mbaroni Kwa Kumfanya Mke Wa Mtu ‘Msukule’
  • HAYA NDIYO MAMBO YA MINZIRO, NI BURUDANI YA ZIADA ZAIDI YA DAKIKA 90 ZA MCHEZO UWANJANI
  • MWEZI MTUKUFU WAMUOKOA MTUHUMIWA WA WIZI
  • LINAH Ajiweka kimaaba kwa kaka yake ZARI
  • Kweli Bongo Flava Inalipa Ona Jumba la Kifaari la Mwanamuziki JUX
  • Maiti ya Sangoma Yazua 'Timbwili' Mbeya...Yazikwa Ndani ya Nyumba yake Usiku
  • Rais Magufuli aitumbua Tanesco
  • KUTOKA MORO AIBU! MKE WA MTU ANASWA AKIJIUZA KUSAKA FEDHA ZA KRISMASI
  • Tafadhali Usijaribu Kula Chakula Kwa Namna Hii...Ni Hatari Kwa Afya Yako
Awesome Inc. theme. Powered by Blogger.