Picha: Edward Lowassa Amjulia Hali Mafti Mkuu wa Tanzania Sheikh Aboubakary Zubeiry Aliyelazwa Muhimbili
Aliekuwa mgombea urais kwa tiketi ya Chadema ,Edward Lowassa leo amemtembelea Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Aboubakary Zubeiry aliyelazwa Hospitali ya Muhimbili baada ya kufanyiwa upasuaji wa tumbo juzi