Tuesday, February 9, 2016

Jaji Mkuu wa Tanzania kayasema haya baada ya kupokea mabilioni ya Rais Magufuli

Feb 8 2016 Wizara ya Fedha na Mipango ilitoa Bilioni 12.3 kwa ajili shughuli za Mahakama ikiwa ni  utekelezwaji wa ahadi aliyoitoa Rais Magufuli siku ya kilele cha maadhimisho ya siku ya Mahakama  duniani, February 9 jaji mkuu wa TanzaniaMohamed Othman Chande amethibitisha kuwa hela zimeingia kwenye mfuko wa mahakama uliyopo benki kuu. Hii ni video ya jaji mkuu, waziri wa fedha Dk Philip Mpango na  waziri wa katiba na sheria Dk Harrison Mwakyembe ikielezea full stori hapa.

U