Tuesday, February 9, 2016

TOP 5 ya vituko vya mashabiki wa soka, wengine wamevua nguo na kuingia uwanjani (+Video)

Mtu wangu wa nguvu unakumbuka vituko vya mashabiki wa soka kuingia uwanjani wakati wa mechi, Tanzania iliwahi kutokea mwaka 2010 kuelekea fainali za Kombe la Dunia2010 nchini Afrika Kusini, kuna jamaa aliingia uwanjani wakati mechi ya Tanzania naBrazil ikiendelea, lengo lake likiwa kumgusa mchezaji bora wa dunia wa mwaka 2007Ricardo Kaka, sasa hii ni video ya mashabiki wa soka waliowahi kuingia kuvamia mchezo, wengine wakiwa wamevua nguo na mwingine kaamua kufunga goli kabisa.

U