MPENZI WANGU ANAPENDA PICHA MPAKA ANAKERA..!! KILA SAA PICHA
Nimejaribu kumkanya sana bado tu haachi tabia hiyo ya kupiga piga picha, Bora basi hata picha zenyewe ziwe za maana, Picha zake ni shida tupu, yani za utata, unaweza hata ukafa kwa presha ukiziona, ni hatari sana. Naombeni ushauri jamani maana nimeshasema mpaka nimechoka..!!