Thursday, March 24, 2016

Mrembo Tunda na Mwanamuziki Young Dee Wadaiwa Kumwagana..Kisa Dogo Janja..

Penzi kati ya Hitmaker wa SIO MCHOYO YoungDaresalama na mpenz wake #Tunda lazidi kuwa matatan baada ya YOUND DEE KUZIFUTA PICHA ZOTE ZA KIPUSA huyo kwenye insta yake
Matatizo yalianza, baada ya TUNDA kupost picha akiwa na dogojanjatz ambaye amemdiss DEE kwenye track yake mpya MY LIFE AMBAYO INAFANYA VIZULI
je unahisi nani kakosa ... Young Dee au TUNDA?