Tuesday, May 20, 2014

Picha:Diva atupia picha akiwa anakiss na mfanyakazi mwenzake,anauliza kama baby wake akiiona atakasirika…!

Penzi la mastaa  wetu wa  bongo, Diva ambaye ni mtangazaji wa Clouds FM na King Crazy GK ambaye ni msanii wa bongo flava….Limeingia kwenye mtego baada ya Diva kuweka PICHA kwenye ukurasa wake wa INSTAGRAM akiwa ana KISS na mfanyakazi mwenzake a k a Handsome wa Cloudsfm….PATAMU HAPO…Katika kuelewa kuwa picha hii ni tata, Diva aliandika maneno haya chini ya picha hiyo;handsome boy wa cloudsfm … My baby akiona hii Picha je? unahisi atakasirika au?! lol
handsome boy wa cloudsfm ... My baby akiona hii Picha je? unahisi atakasirika au?! lol
handsome boy wa cloudsfm … My baby akiona hii Picha je? unahisi atakasirika au?! lol
…Tunasubiri kusikia upande wa GK…….Dah!! ila huyu mdada PRESHAPRESHA.