Monday, May 19, 2014

VIDEO MPYA YA SHAA NI SHIDA... SUGUA GAGA CHA MTOTO KABISA

Screen Shot 2014-05-19 at 3.54.10 AMAKIWA NI MIONGONI MWA WASANII WENYE MAJINA YAO TANZANIA NA HATA KWENYE NCHI JIRANI, MWIMBAJI SHAA ATARUDI TENA KWENYE SPIKA ZAKO NA KWENYE TV YAKO HIVI KARIBUNI AKIWA NA SOUND MPYA YA SINGLE YAKE AMBAYO MAZINGIRA YA KISWAHILI/KITANZANIA YAMEHUSIKA NDANI YAKE.



Hii ni May 18 2014 wakati akiifanya video ya single hii iitwayo ‘subira’ maeneo ya Manzese Dar es salaam kupitia mikono ya Director anaepewa heshima kila siku kutokana na mikono yake kuhusika kuzipeleka mbali video za kitanzania…. Adam Juma kutoka Next level.