Thursday, July 17, 2014

FLORA LYMO (MBUTA NANGA) YUKO MAHUTUTI HOSPITALINI, APIMWA KANSA YA KICHWA

Yule dada wa UK kwa jina florah lymo au mbutananga yuko hospitalini kwa matibabu baada ya kuhisi kizunguzungu na kuanguka ghafla. Taarifa zilizohakikiwa ni kwamba alifanyiwa kipimo cha Kansa ya ubongo. Majibu ya kipimo hiki ni Siri ya mhusika. Nimejisikia vibaya sana na kumuonea huruma. Seriously anahitaji Maombi Kama mwenyewe alivyoomba Huko IG …..tumuombee majibu yawe negative manake si ishu ya mchezo.
flora

Updates :
Flora kwa sasa anaendelea vizuri na Baada ya Kupimwa Kansa haya ndo Majibu yake: