Thursday, July 17, 2014

PICHA:NAMNA MASTAA KADHAA WA BONGO WALIVYOFTURU PAMOJA NA THT HAPO JANA

51lnhMwezi mtukufu wa Ramadhani ni mweiz unaotumiwa na Waislamu kutubu makosa na kumuomba Mwenyezi Mungu aweke wepesi kwenye kila hatua waipigayo ingawa pia hutumiwa na Waislamu kadhaa kufutulisha.
Kituo cha THT leo kimefuturisha Waislamu mbalimbali waliopata nafasi ya kuhudhuria futari hii ambayo iliandaliwa na taasisi hiyo kwa Waislamu wote,miongoni mwa Waislamu hao ni pamoja na mastar wa Tanzania walipokutana na kufuturu pamoja.
Mkusanyiko huo wa mastar wa Tanzania kufuturu pamoja kwenye mwezi huu mtukufu wa Ramadhan utakuwa wa 4,baada ya ule wa kwanza alioufanya Diamond Platnumz akafata Wema Sepetu kisha Shilole na taasisi ya THT.
Mbali na futari hiyo pia THT imetumia nafasi hiyo kumuaga rasmi Linah baada ya kupata uongozi mpya nafasi pia iliyotumika kuizindua video yake pamoja na audio aliyoipa jina la Ole Themba.
Baadhi ya picha za futari ni hizi.
136lnh
135lnh
134lnh
133lnh
131lnh
130lnh
103lnh
109lnh
110lnh
114lnh
116lnh
117lnh
102lnh
97lnh
92lnh
90lnh
85lnh
84lnh
70lnh
74lnh
76lnh
77lnh
78lnh
83lnh
66lnh
59lnh
56lnh
55lnh
54lnh
52lnh
28lnh
38lnh
47lnh
48lnh
49lnh
22lnh
20lnh
18lnh
17lnh
15lnh
12lnh
9lnh
5lnh
4lnh