Huu ni mpango wa millardayo.com kila wiki kukupa nafasi ya kuona jinsi nyumba za kisasa zilivyojengwa ambapo japokua sio kila mmoja ana uwezo wa kujenga nyumba kama hizi, ukitazama picha vizuri unaweza kupata chochote kitu kuanzia kwenye pazia, sakafu, taa, sebule, viti na mengine mengi.
Hiyo picha ya kwanza hapo juu na hizi zinazofata ni za nyumba namba 1 ambayo ipo nchini Australia.