Thursday, September 18, 2014

BAADA YA KUTUKANWA INSTAGRAM KUWA ANAISHI KWA WEMA,HICHI NDICHO KADINDA ALICHOONYESHA….

11
Alipost hii picha juzi kwenye mtandao wa instagram baada ya kundi la watu kuibuka na kumtukana manager huyo kuwa hafai kuwa role model na maneno mengine machafu ambayo hayana maadili. Matusi hayo yalikuja baada ya manager huyo kupost picha yake huku akiwa ameacha kitovu chake nje.
12
Martin aliwajia juu watu hao na kuwaambia kuwa wengi wao wanaomponda mtandaoni hawana maisha wala elimu,hivyo wanachofanya ni kujifariji kama sio kujipooza machungu ya ugumu wa maisha kwa kumponda yeye (martin) ambaye anadai ana maisha mazuri kuliko hao wanaohangaika kumtukana mitandaoni wakati hata hawamjui