Thursday, September 18, 2014
MAJANGA, BASI LAZAMA MTO PANGANI BAADA YA BREAK KUGOMA GHAFLA
mwaka huu majanga basi lanusurika kuzama mto pangani Kwenye kivuko cha mv pangani baada ya kufeli break leo hii asubuhi majeruhi dereva peke yake
Newer Post
Older Post
Home