Friday, September 12, 2014

KUTANA NA MTU ALIYE WAHI KWENDA MBINGUNI MARA 4, KACHORA NA RAMANI YA MBINGUNI....!! TAZAMA PICHA HAPA




Anaitwa Sibusiso Mthembu, mwenye miaka 65, anaetokea south Afrika kwa  zulu-natatal anasema ni kweli ameenda mbinguni mara 4.Nani ajuaye kama kweli alisha wahi kwenda huko,but inawezekana ikawa kweli pia,mara ya kwanza ilikuwa mwaka 1998 baaada ya hapo ailienda pia mwaka 2004,2006 na 2008 kwa mfululizo
ILIANZAJE..!!
Yote hayo yalianza mwaka 1993,alipotembelewa na mtu mweupe(ina wezekana malaika) na akamwambia kwamba alikuwa anahitajika mbinguni.Baada ya kutembea mbinguni alifanikiwa kuchora ramani ya huko na kutuletea sisi tusio na bahati hiyo ya kwenda mbinguni,ili tuweze kuamini ambacho ana kisema ..Ramani ndiyo hiyo hapo chini


Hii ndio Ramani ya mbinguni iliyochorwa  na mthembu
<<<MTAZAME HAPA AGNES MASOGANGE AKIWA KATIKA POZI LA CHUMBANI NA KANGA TUU..NI BALAA>>>