Wednesday, October 15, 2014

PICHA:WANAWAKE WENYE MAKALIO MAKUBWA NA KERO WANAZOKABILIANA NAZO..SOMA HAPA

Wanawake wengi wenye hips , ni wanawake
ambao si kwa mwanaume tu hata kwa wanawake
wenzie husifia kuwa fulani kajaliwa, ki maumbile,
ni kweli wana mvuto wa pekee, humwagiwa sifa
nyingi za urembo, lakini pia kwa upande
mwingine wa shillingi ni matatizo tupu.
Sifa:
1. Huwatesa sana wakina baba wanapokuwa
katika vyombo vya usafiri kama daladala, treni,
meli na ngalawa, mababa wengi hujawa na hisia
kali za mahaba kiasi kwamba hupata mfadhaiko.
2. Hawana haraka sana kwani mwendo wao,
hutembea kwa maringo, hata daladala likisimamia
mbali hawawezi kukimbia kuwahi.
3. Hutongozwa wanaume watano kwa siku, hata
wanaume wasiposema kitu angalau ukonyeza.
4. Ni wasikivu sana wakati wa kudate maana
wengi ni warefu hupenda sana kukuinamia kusikia
zaidi uliongealo.
Matatizo.
1. Kwa kuwa huwa wanavutia sana ni rahisi
kurubuniwa kwani mwanamke yeye duniani
hawezi kutongozwa watu elfu 2000 asimpende
mmojawapo.
2. Hawana raha kwani ukodolewa sana macho na
watu, si wanawake wala wanaume.
3. Upata magonjwa sana asa fungus kwani
sehemu zao za siri hazipati hewa ya kutosha
kufatana na kubanana kwa nyama na msuguano
kila watembeapo.
4. Wana gharama sana kuwatunza kwa sababu
hawatakiwi kutembea kwa muda mrefu kuogopa
msuguana hivyo umuoapo ni lazima ughalimike
usafiri au unatakiwa kumunulia skin taiti kila mara
kwa kuwa zinahariibika muda mfupi sehemu ya
mapaja.